MISS Tanzania mwaka 2005 ambaye pia ni Miss Dunia wa Afrika 2005 Nancy Sumari ni miongoni mwa waliotajwa kwenye orodha ya vijana walio na umri chini ya miaka 40 wenye ushawishi mkubwa katika Bara la Afrika.
Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na Mtandao wa African Youth Awards juzi memtaja mrembo huyo kuwa ni miongoni mwa waliomo kwenye orodha hiyo . Pia mwanamitindo Jokate Mwegelo naye yumo.
Ratiba ya kupendekeza majina ya vijana wenye ushawishi zaidi barani Afrika mwaka 2017 ilitolewa Juni 25 na kufungwa Agosti 22 na hatimaye kupata orodha ya vijana 100 wenye ushawishi ambapo ndani yake wapo mastaa mbalimbali wa kike na wa kiume.

0 Comments:
Post a Comment