Monday, August 24, 2020

KARATE-DO NI NIDHAMU YA MAISHA

Mwana-Karate au kama ajulikanavyo kwa lugha ya mchezo huo uitwa kwa jina la “Karateka”. Karateka hubeba dhamana kubwa sana katika maisha yake ya kila siku kuhakikisha kwamba nidhamu ya mafunzo na desturi za uadilifu zinaenda sambamba na kuwa mfano bora wa kauli na matendo ya Sensei au mwalimu. Hivyo basi, hata wanafunzi wote wa Karate hufuata nyayo hizohizo kama jinsi ilivyo rithiwa toka vizazi na vizazi huko katika visiwa vya Okinawa,Japan kwa karne tofauti hadi hivi leo mfumo huo unaendelea.

Hazina hii muhimu ipo pia katika Sanaa zinginezo za mapambano toka Japan, kama vile Judo, Kendo, Aikido, Kobudo, Kenpo, Jiu – Jitsu, na Karate pia. Fahari hii ya Sanaa hizi za mapambano tokea Japan ambacho ni kisiwa kidogo na uwezo mkubwa wa kina katika sayansi ya mapambano, iliweza kumudu na kuwa na tofauti zote bila kuwa na kashfa, matusi, dharau, ubadhilifu kwa wanafunzi, hata kusengenya Sanaa au chama chochote nyingine kati yao na wafuasi au wanafunzi wake. Isitoshe basi, huko Japan,ususani visiwani Okinawa, kuna shule, au Dojo za mitindo au sanaa hizo mbalimbali kila mji na wilaya zote, lakini, hautasikia wala kuona moja ya kundi, chama au wanafunzi wakiwadharau wengine au kuwaongelea vibaya wale wasio kuwa chini ya mtindo wa aina moja, sababu tu dojo zao jirani au baadhi ya wanafunzi wao wanapenda kujifunza mfumo tofauti wa Karate na wenzao sasa unaanza uhasama wa mafunzo.

Kihistoria na hadithia za kweli tulizosikia hasa endapo unatembelea visiwani Okinawa kwenye chimbuko na sehemu takatifu kwa Sanaa ya Karate, jambo moja nililo weza shuhudia kwa macho na kimwili ni kwamba, hizi ni Sanaa za Japan na wajapan wote wanajivunia, bila shaka wanaziwakilisha vyema sana utamaduni hu una hata kushirikiana kwa maonyesho ya kikukuu ya kila mwaka ya Karate inayo wakusanya walimu, nanafunzi na masters wa mitindo yote ya Karate “KARATE DAY” katika mji mkuu wa Naha City, shehemu ya mtaa maarufu huko Naha uitwao “Kokusai Dori”, na kuonyesha mbini na Kata za Karate mitindo hiyo tofauti bila kujali tofauti zao kimwenendo na Maisha binafsi  ya mtu kama jamii.

Pia, Okinawa utumia fursa hii kuwa enzi wale magwiji waliochangia mbinu na ubunifu wa kuendeleza Sanaa hii na pia  kuisambaza duniani kote, na hatimae hata kwetu Tanzania ilifika miaka zaidi ya 47 iliyopita, yaani shule halali ya kutambulika, Hekalu la Kujilinda ilifunguliwa rasmi 1973 na Hanshi Nantambu Camara Bomani sensei, hatimae mwaka 1976 kutoa mikanda miesi wa kwanza wa tano Tanzania kwa majina: Zebedayo Mapfumo Gamanya sensei, Tola Sodoinde Malunga sensei, Magoma N.Sarya sensei, Adombe Mabruki sensei na Abome Mabruki sensei.


Jambo muhimu kwa wafuasi wa Karate tuzingatie sana maadili kwa weledi wa kimafunzo yetu, hususani  kama jinsi ilivyo huko visiwani Okinawa, ni heshima, nidhamu na adabu ya kuwaheshimu wana karate wenzio, hata kama sio chama kimoja au mitindo isiyo sambamba na kujivunia jinsi gani sanaa hii imewezesha watu toka tabaka tofauti za maisha,hali ya kiuchumi, elimu tofauti , mataifa tofauti, lugha tofauti, na hata imani za dini tofauti wake kwa waume. Hivyo basi, hatuna budi tujifunze kwetu hapa Tanzania, lipi la kufanya ilituweze kuiwakilisha sanaa ya Karate kwa ubora wake na sio kuwa kana kwamba ni makundi ya kipinzani au kama jambo la  kihuni na ubabe wa kutojuwa au kuifahamu  historia  na urafiki wa karibu kwa kila chama na mitindo tofauti kwa kuishi mji au mkoa mmoja kama jinsi ilivyo huko Okinawa, Japan ambako kuna maelfu ya Dojo na mitindo mbalimbali na hakuna uhasama wala utovu wa lugha za maneno machafu yasio na nidhamu ya mfano  tunayojifunza na pia kuwafunza watoto katika kizazi kijacho kuepuka shari za ulevi, madawa ya kulevya na uhuni kupitia nguzo za ukumbi wa mafunzo “Dojo Kun”. Mfano: “Chunga tabia yako”, “Usiwe mwenye kujiaminisha sana mwenyewe”, “Ishi Maisha ya kawaida na yasio na makuu”, “Mafunzo hayana mwisho”.

Pia, kila mwana Karate mahili au Karateka, inampasa kuwa muadilifu na mwenye kujaribu kufuata historia ya kweli ya Karate kupitia mitindo yao na kuwa na elimu ya maelezo ya chama anacho kiwakilisha na kujenga weledi wa mafunzo ya filosofia hii. Waasisi muhimu na adimu kwa wafuasi wa Karate dunuani, hasa visiwani Okinawa, kupitia makumbusho ya Taifa ya Karate kwenye mji wa  Tomigusuku, Okinawa katika ukumbi wa “Okinawa Karate Kai Kan”, kuna mengi ya kujifunza kana vile nilivyoshuhudia wakati wa maadhimisho ya miaka 65 ya chama cha “Jundokan” toka kilivyo anzishwa na  master Eiichi Miyazato mwaka 1957 huko Asato, Naha City, Okinawa, Japan alikuwa ni mwanafunzi wa master Chojun Miyagi, mwanzilishi wa mtindo wa Okinawa Goju Ryu. Miyagi Chojun, wanafunzi wake wakiwemo kama vile, master Eiichi Miyazato sensei  wa Jundokan Goju Ryu, master Seiko Higa sensei, master Tatsuo Shimabuku sensei,  mwanzilishi wa Isshin Ryu, master Meitoku Yagi sensei, mwanzilishi wa chama cha Meibuka Goju Ryu, master Seikichi Toguchi sensei, mwanzilishi wa Shorei Kan Goju Ryu, master Gichin Funakoshi, mwanzilishi wa Goju Kai, niliweza shuhudia pia majina ya waasisi wakuu hawa kama ifuatavyo:


  • Sokon Matsumura. Matsumura sensei aliishi kati ya miaka ya 1809 hadi kufariki mwaka 1899, alizaliwa mji wa Shuri, Okinawa,  alijifunza mbinu za awali za mapambano toka kwa  mtu ajulikanae kwa jina la Kanga Sakukawa.
  • Anko Itosu. Itosu sensei hadi sasa huitwa “Father of Karate” yaani Baba wa Karate huko Okinawa. Alizaliwa mwaka 1831 mjini Shuri, Okinawa, Japan hadi mwaka 1915. Alitowa wanafunzi na waanzilishi wa mitindo mingi toka Okinawa kama vile  kwa majina:
  • Gichin Funakoshi, mwanzilishi wa Shotokan, Kenwa Mabuni, mwanzilishi wa Shito Ryu, Choshin Chibana, mwanzilishi wa Shorin Ryu. Motobu Choki, mkufunzi wa Shuri-te na Tomari-te. 


Walimu au masters wengine mitindo au vyama tofauti toka Okinawa ni: Kanryo Higaonna, Chojun Miyagi, Kyan Chotoku, Anko Sato, Kanbun Uechi, mwanzilishi wa mtindo wa Uechi Ryu. Haya yote niliyo yaeleza hapo, nikuzihilisha kwamba hesabu za watu hao maarufu visiwani Okinawa, waliweza kuisambaza Sanaa yao ya Karate vyema duniani hadi hii leo na kutufikia hata sisi nchini Tanzania bila utovu wa nidhamu, kejeli, matusi na lugha za kihuni kama jinsi baadhi ya watu wasio na upeo kifikra na kutoelewa kuifundisha Karate asilia. 


Ni wito na ombi kubwa kwangu kwa vyama na shule za Karate nchi Tanzania, kuimarisha haya maadhimio adimu tuliyo yapata kupitia sanaa ya mapambano na Karate za mitindo tofauti, kuimarisha  na kujenda mwili na fikra kuwa kitu kimoja. Kutokuwa na kiburi, dharau na makuu kwa walimu wadogo, wenye nia nzuri  wanafuatao nidhamu za wakuu wao wa dojo kuheshimiwa kama jinsi ilivyo desturi za kwenye chimbuko huko Japan. 






Tunaamini jinsi sanaa hii ilivyo na nguvu ya kuweza kuleta na kuwaunganisha watu, mataifa tofauti bila kujali tofauti zao chini ya imani moja tu, nayo ni moyo juu, mbinu na falasafa ya nidhamu ya mafunzo ya Karate. 


Tujenge tunacho amini, katika nguzo zetu za ukumbi wa mafunzo ili iwe msingi mkuu wa kizazi kijacho kwa ubora na umadhubuti, ushupavu kulinda usalama wa nchi yetu kwa mifano bora ya mafunzo ya Karate Tanzania na hata Afrika nzima.

Usia wangu, ukiambatana na uzoefu wa miaka takriban 42 ya  weledi wa mafunzo ya Karate mpaka sasa,  ushiriki wa semina “Gasshuku” kwenye  mabara ya Marekani Kaskazini, Marekani ya kati, Ulaya na pia Japan kwenyewe chini ya walimu wakuu wa Karate maarufu duniani, nimejifunza na kuona walimu wa kuu au masters wengi sana ikiwa ni bahati kwangu ninayo ishukuru kwa yote niliyojifunza na kujenga urafiki wa kina toka kwa kila mmoja wao.



 Sikuwa na budi, bali kushiriki na kujadili njia sahihi na kukipa kipau mbele heshima stahiki kwa dojo zote tukijuwa kwamba kuna umuhimu wa kujua na kuelewa historia na chimbuko zake. Mwelekeo wa makundi au vyama na mitindo ya walimu wa Karate Tanzania, hauna budi kuutambua ukweli kwamba mafunzo hayana aidha umri au sababu hutokubali kufunzwa mbinu “Bunkai” na iliyemfunza mafunzo ya awali, endapo anauzoefu wa elimu na  mbinu kadhaa zilizo sahihi.


 Maoni na mchango wa hoja hizi  toka katika majarida ya makumbusho ya Karate “Okinawa Karate Kaikan”, wakati wa ziara yangu mwaka 2018 ya maadhimisho ya 65 ya chama chetu cha Jundokan toka kizaliwe iliyofanyika  kwenye  mji wa Tomigusuku, Okinawa, Japan. 



Saturday, July 18, 2020

JACK HARLOW DROPS ‘WHATS POPPIN’ REMIX VIDEO WITH DABABY, TORY LANEZ, & LIL WAYNE



Tory Lanez, Lil Wayne, and Jack Harlow

Before heading into the weekend, Jack Harlow drops off the video for the star-studded remix to “WHATS POPPIN.”
Shot in Miami, the Eif Rivera-directed clip stars Lil Wayne, DaBaby, Tory Lanez, DJ Drama, and JetsonMade, who produced the track with Pooh Beatz. Despite the lockdown, the rap all-stars were able to link up on the set. Tory jumps on silver couches, while Weezy delivers his spitfire verse while posted on the ceiling.
There may be another remix on the way. Earlier this week, Justin Bieber teased his own remix, which could drop later this month. “I need to see WHATS POPPIN hit number one though…” said Jack.
“WHATS POPPIN,” which appears on Jack’s EP Sweet Action, is currently No. 3 on the Billboard Hot 100. “‘WHATS POPPIN’ dropped at the top of this historic year and things haven’t been the same for me or the world since,” Jack said of his surprise hit. “I knew the record was special, but it continues to exceed my inner circle and I’s expectations.”

Tamar Braxton Stable But Still Unconscious After Apparent Suicide Attempt

Tamar Braxton was rushed to the hospital late last night after her boyfriend, David, discovered her unconscious in the Ritz Carlton Residences in downtown L.A.
A 9-1-1 call from David AdefesoTamar Braxton's boyfriend of about a year and a half, reveals the singer had apparently taken an unknown amount of prescription meds while simultaneusly drinking alcohol. He found her unresponsive, and reportedly said he believed it was a suicide attempt.
LAPD confirmed to The Blast:
"...they received a call around 9:45 P.M. in regard to a 43-year-old female who had a medical emergency listed as a “possible overdose.”"
Yesterday, WEtv announced Tamar's new docuseries "Get Ya Life". Apparently, that may have caused extra strain on the "Love and War" singer who has been frustrated with how the network has been treating her and her family.

Despite yesterday's announcement of her own new WEtv docuseries, Tamar has been airing out her frustrations with the network this week about her and her family being underpaid for their "Braxton Family Values" show and spinoffs.  She said that in comparison to The Kardashians, The Braxtons are not being paid what they're worth.  "BFV" has aired for 6 seasons and a total of 142 episodes and has delivered consistently high ratings for the network.

Still, WEtv seemed to be going ahead with "Get Ya Life" as it's set to premiere July 30 at 10/9c. According to the press release, the series will be showing the ups and downs of her life as a co-parent with estranged husband Vincent Herbert, her family and her career:
After nearly losing everything, including herself, Tamar is determined to turn her life around and take matters into her own hands by sharing her truth in a revealing new docu-series that follows her every move. However nothing can prepare Tamar for the most epic journey of her life.
In a series of shocking revelations and extreme breakthroughs, it’s the most authentic side of Tamar Braxton ever as she vows to show the good, the bad and the ugly. Cameras continue rolling during Tamar’s most vulnerable hours as she invites love back into her life with her new boyfriend David, relaunches her music career, navigates co-parenting with her ex and battles the pressure to reconcile and reunite with her family.

Wednesday, April 22, 2020

Westside Gunn Opens Up On COVID-19 Experience: ‘I Thought I Was Going To Die’

Westside Gunn catches up with Rosenberg and discusses his experience with COVID-19, new music, and more!

Best Of Michael Jordan’s Rookie Season | The Jordan Vault



Look back at the best moments from MJ’s rookie season!
The Last Dance continues Sunday, April 26 at 9:00 PM ET on @ESPN

After Tonight’s Teddy Riley vs. Babyface Verzuz Re-Do, Folks Want Diddy vs. Dr. Dre, 50 Cent vs. Ja Rule, Stevie J vs. Al B Sure

​​
Hopefully, Teddy Riley has worked out all of his audio issues for tonight’s Verzuz redo with Babyface. Find out what time the highly-anticipated battle is going down and who the people want to see battle it out next inside…
It’s about to go down…foreal this time. Hopefully.
Swizz Beatz announced the “rematch” between Teddy Riley and Babyface is set to go down TONIGHT at 8pm EST.


Swizz said the sound check has already been completed, so tonight's battle should definitely go down without any technical issues.
Hmph.
"Let’s get back to the LOVE of music this Monday 8pm est less will be more & sounds will be fixed Sound checks done," Swizz wrote in the announcement.
As you know, the battle has been postponed twice since it was announced the legendary producers would go head-to-head. It was postponed the first time because Babyface was recovering from COVID-19. For the second battle, Teddy was doing the absolute most - with a lot of people that weren't social distancing - and couldn't work out audio issues for the battle. The memes were endless.

Monday, April 20, 2020

FREENATION X NAY WAMITEGO,MTAFYA,NINI,BEST NASSO & MR LG

Freenation Record label inakukaribisha kusikiliza wimbo mpya ulioimbwa na  wasanii wote wa Freenation unaokwenda kwa jina la Nionyeshe chini ya produza Mr. LG



https://youtu.be/40e7dP8FvkA