MTAYARISHAJI wa muziki wa kizazi kipya Bob Junior anayemiliki studio ya Sharobaro ameonekana akirusha vijembe kwa moja ya wasanii ambao amewahi kufanya nao kazi.
Bob Junior miaka ya nyuma alikuwa akifanya kazi na Diamond lakini baadae kila mmoja akaendelea kufanya kazi kivyake.Hata hivyo Bob Junior pamoja na kurusha vijembe hajaweka wazi anamlenga nani.
Kwa kutumia Instagram mtayarishaji huyo amekuwa akirusha vijembe hivyo huku baadhi ya watu wakiamini huenda anamlenga Diamond.

0 Comments:
Post a Comment