Wednesday, June 8, 2011

MGANGA (remix) BY SAJNA

Sajna
Hey mambo vipi,

Kwanza napenda kutoa shkurani za dhati kwa mapokezi mazuri mliompatia msanii mpya kutoka TETEMESHA RECORDZ aitwaye C-SIR MADINI naimani atafika mbali na sisi pia tutaendelea kukaza.

Ujio wa leo unamhusu SAJNA, niliwahi kuwatumia wimbo wake unaitwa MGANGA ambao ulivuja toka mwaka jana, kuna baadhi ya watu walitutumia maoni kuwa tufanye remix flani yenye beat ambayo itakuwa more danceable than ile ya mwanzo, na ndicho tumekifanya ili wimbo uwe applicable mahali popote hata katika matukio ya kuchangamka.

So naamini kwa remix hii itazidi kufanikisha safari ya SAJNA katika muziki huu na pia itazidi kuupigisha hatua wimbo huu wa MGANGA.. please enjoy.


CREDITS
Song: MGANGA
Artists: SAJNA FT. JOSEFLY
lyrics written by: SAJNA, JOSEFLY & KID BWOY
arranged by: KID BWOY
Beat produced by: AMBA
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ (Mwanza)

Contacts: SAJNA : 0654 655280
JOSEFLY : 0719 205351
KID BWOY: 0713 131073

regards

Kid bwoy
TETEMESHA RECORDZ

0 Comments: