MTUNZI na msanii wa R&B, Barnaba Elias ‘Barnaba Classic’ amesema pamoja na kuachwa na mzazi mwenzake hajawahi kuumizwa na maisha yanakwenda kama kawaida.
Pia amebainisha kuwa amekuwa anam-miss sana mke wake aliyebahatika kupata naye mtoto mmoja lakini hawezi kurudiana naye.
Barnaba alieleza hayo baada ya kupita muda mrefu tangu aachane na mzazi mwenzake huyo na kusababisha kuwa single hadi sasa.
“Sitarudiana na mama watoto wangu japo nam-miss sana ni lazima itokee hivyo kwa sababu tumedumu muda mrefu katika uhusiano na kufanyikiwa kufanya mambo mengi,”alifunguka.
Akiendelea kuweka mambo wazi Barnaba alisema kwa upande wake mapenzi hayajawahi kumuendesha hata kidogo kama walivyo baadhi ya watu kwani hufikia hatua ya kushindwa hata kufanyakazi.
“Niwe mkweli tu, mimi sijawahi kuendeshwa na mapenzi au uhusiano. Mapenzi hayana nafasi kubwa katika maisha yangu japokuwa yana nguvu kwa mtu yeyote yule, mapenzi hayajawahi kuchukua asilimia kubwa ya maisha yangu, kuniathiri wala kunitikisa,”alisisitiza.

0 Comments:
Post a Comment