MWANADADA anayefanya muziki wa kizazi kipya nchini, Amber Lulu amesema kwa sasa hana muda wa kufikiria mambo ambayo hayana faida kwake ikiwepo kupiga picha za utupu.
Akizungumza hivi karibuni mwanadada huyo ambaye amekuwa akijihusisha na skendo za kupiga picha za utupu na kuzisambaza mitandaoni, alisema hajaona faida yake hivyo hafikirii kufanya hivyo tena.
“Hivyo vitu siwezi kuviendekeza tena sasa hivi nadili na kazi zangu zinazoniingizia fedha nimetia pesa kwenye kazi sasa lazima niwe makini na masuala ya msingi,”alisema Amber Lulu.
Amber Lulu kwa sasa ameamua kujikita katika kazi ya muziki akitambulishwa na Wimbo wa Watakoma.

0 Comments:
Post a Comment