Akizungumza Dar es Salaam hivi karibuni, Dogo Janja alisema kuwa na uhusiano na wanawake waliomzidi umri kwanza ni sunna kwa imani ya dini yake ya Kiislam, lakini pia wanawake wakubwa wanatulia kwenye mahusiano, tofauti na wasichana wadogo ambao wanakuwa wasumbufu.
“Cha kwanza ni sunna, cha pili watoto pasua kichwa, ukiwa na mtu ambaye amekuzidi umri anaweza kukuongoza, si unakuwa na mwanamke anajua kuendesha gari halafu hajui kupika wali, unakuwa na mtu ameshakuwa na uzoefu wa maisha, kwa hiyo anataka kutulia,” alisema Dogo Janja.
0 Comments:
Post a Comment