MSANII wa kizazi Z Anto wiki hii anatarajia kuonesha fremu zake za biashara 70 ambazo ndio zinampa jeuri ya kuishi nje ya muziki.
Akizungumza juzi Meneja wa Z Anto , Namajojo anasema kabla ya kutoa wimbo mpya wiki ijayo wataanza kuonesha fremu 70 za msanii huyo.
“Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakizungumza kwenye mitandao, wanaona kama vile haiwezekani .Fremu zipo hapa hapa Dar es Salaam na tutazionesha ili wajue. Z Anto si msanii tu bali ni mfanyabishara,”anasema.

0 Comments:
Post a Comment