MSANII anayeongoza kwa utanashati Nollywood, Enyinna Nwigwe ni mtu wa ‘totozi’ hilo halina ubishi na kwamba yupo tarai kucheza filamu za utupu kama atalipwa vizuri.
Nwigwe, ambaye amejikuta akitambulika zaidi katika tasnia hiyo alipocheza kama kaka wa Banky katika filamu iliyoshinda tuzo ya ‘Wedding Party’, aliwashangaza mashabiki wake aliposema amecheza filamu ya mashoga inayoitwa; ‘Games Men Play’.
Msanii huyo mtanashati, ambaye alipewa heshima ya kipekee alipocheza kuwa kaka wa Banky W, alitoa ushuhuda huo wakati alipofanyiwa mahojiano.
Wakati huo huo, alisema kwamba aliingia katika tasnia hiyo kwa bahati mbaya, alijibu hivyo alipoulizwa endapo kama anaweza kucheza filamu akiwa mtupu.

0 Comments:
Post a Comment