Tuesday, August 15, 2017

Rita Dominic hataki atangazwe akisaidiwa

MSANII nyota wa Nollywood, Rita Dominic amewaomba wanaowasaidia wasanii wasiwatangaze kwani si jambo jema.
Kumeibuka wimbi kubwa la wasanii mbalimbali nchini humo kujikuta wakitangazwa jinsi walivyosaidiwa.
Baadhi ya wasanii hao ni Tonto Dikeh, Kate Henshaw, Toyin Aimakhu na wengine wengi ambao wamekutwa na kadhia hiyo.
Katika ukurasa wake wa Instagram aliandika:”Msaidie yeyote bila kumwambia yeyote”.
Alisema si vizuri pia msanii kumweka wazi mtu anayekupa sapoti katika kazi yako.

0 Comments: