MSANII wa kike kwenye muziki wa kizazi kipya Nandy hayupo kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii Billinass.
Nandy na Billinass wamekuwa wakihusishwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi.Hata hivyo taarifa hizo zimekanushwa.
Kwa mujibu wa maelezo yao , wawili hao wameshiriki kwenye kufanya colabo pamoja.”Upo wimbo ambao nilifanya na Nandy.Wasanii wangapi nimefanya nao nyimbo? Nimeshafanya na Dyana na Maua Sama,”anasema Billinass.

0 Comments:
Post a Comment