Saturday, August 19, 2017

Mr Nice:Kenya wananipenda kuliko Tanzania

MWANAMUZIKI wa siku nyingi Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibua madai kuwa mashabiki wa muziki wa nchini Kenya wanamkubali kuliko Tanzania.
Mr.Nice ambaye alijizolea umaarufu kutoka na staili yake ya miondoko aliyoipa jina la  Tanzania, Kenya na Uganda (Takeu).
Akizungumza wiki hii, Mr Nice anasema anaamini kuna baadhi ya mashabiki walioko Tanzania hawapendi lakini Kenya anapendwa na sana.
“Naishi nchini Kenya na huko ndiko ambako nafanyia muziki wangu kwani wenzetu kwenye burudani wapo mbali kuliko kwetu.Pia Kenya nina mashabiki wengi kuliko Tanzania,”anasema Mr.Nice

0 Comments: