MKALI wa muziki wa kizazi kipya Madee a.k.a Rais wa Mazenze ameamua kumpa makavu Roma Mkatoliki akimtaka aache tabia ya kupenda kuchunguza simu ya mkewe.
Kauli ya Madee imekuja baada ya Roma kudai kwa sasa hamiliki simu tangu alipotekwa, hivyo anatumia simu ya mkewe Nancy anapotaka kufanya mawasiliano.
Anatumia nafasi hiyo kumshauri kuacha tabia hiyo kwani ipo siku anaweza kukutana na vitu ambavyo havitawaacha salama.”Roma acha kutumia simu ya mkeo wako.”
Anasema yeye na familia ya Roma ni watu wakaribu ila watu wengi hawafahamu hilo.
“Roma na familia yake yote ni watu ambao tunataniana muda wowote na sehemu yoyote ile. Sasa watu wa nje ndiyo wanakuwa hawajui halafu wanaanza ku-panic”, anasema Madee.

0 Comments:
Post a Comment