MSANII Emeka Ike, amemtuhumu mke wake wa zamani, Susane kuwa ametelekeza watoto wao wanne.
Kauli hiyo aliitoa hivi karibuni katika mahojiano na Vanguard wakati alipobanwa na maswali na kudai kwamba mke wake huyo hakuwa mtu yeyote kabla ya kukutana.
Katika mahojiano hayo yaliyokuwa na mvuto wa kipekee, Emeka aliweka wazi jinsi alivyodhamini masomo yake hadi kiwango Shahada ya Pili pamoja na kumjengea nyumba jijini Lagos.
Lakini maneno hayo ya Emeka yamepokelewa tofauti katika mitandao ya kijamii kwa wengine kufikiria kwamba anajaribu kumchanganya asiendelee na maisha yake.

0 Comments:
Post a Comment