Saturday, July 1, 2017

Witnes:Tendo la ndoa linapunguza uzito

MSANII Witnes maarufu kwa jina la Kibonge Mwepesi amefunguka kuwa  anaamini mapenzi kunapunguza unene.
Akizungumza wiki hii Dar es Salaam Witnes anasema zipo sababu nyingi za kusababisha mtu kupungua lakini moja ya sababu hizo pia tendo la ndoa alau mara tatu kwa wiki nalo husaidia.
“Unatakiwa kujua kwa wiki unafanya mapenzi mara ngapi. Ni vema si chini ya mara tatu kwa hiyo kwa mwezi mara 12 lakini ukiweza kuzidisha zaidi ni fresh,”anasema Witnes.

0 Comments: