MSANII wa Bongo Fleva Baraka The Prince amesema tatizo la nyimbo nyingi za wasanii kutofanya vizuri hivi karibuni ukiwemo wimbo wake mpya ‘Acha Niende’, linatokana na hali ya muziki kubadilika huku akidai siasa nayo inachangia.
Akizungumza wiki hii anasema hali ni ngumu kwa wasanii, nyimbo nyingi ambazo zimetoka hivi karibuni zimeshindwa kufanya vizuri na hata wimbo wake haujafikia kwenye malengo aliyojiwekea wakati anatoa au hata kulinganisha na nyimbo zake zilizopita.
Anafafanua moja kati ya sababu za nyimbo kufanya vibaya ni kutokea ni matukio ya kisisa ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara.

0 Comments:
Post a Comment