Saturday, July 15, 2017

Picha za Jannifer Lopez utata mtupu


STAA Jannifer Lopez ameamua kuweka picha zake tofauti akiwa anaponda raha na mpenzi katika moja ya maeneo ya starehe.
Picha hizo zimeibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kwani kwani kwa sehemu kubwa zinamuonesha mwanadada huyo mwili wake ukiacha maeneo machache tu ambayo ameyastiri.

0 Comments: