MWANAMUZIKI wa RnB nchini Marekani, Brandy ambaye amekuwa akitoka kimapenzi na producer wa muziki Sir Baptist wanadaiwa kutemana na kila mmoja kuendelea na mambo yake.
Wawili hao walianza kuonesha mahaba yao kupitia mtandao wa Instagram na inadaiwa kuwa wemetemana baada ya mrembo huyo kumfumania na kimwana kingine.
Inadaiwa kuwa sababu za nyingine za kutemana kwao zimekuja baada ya mzazi mwenzake na SirTheBaptist, kukiri kuwa bado wana uhusiano kitu ambacho Brandy alikuwa hakijui.

0 Comments:
Post a Comment