STAA wa Nollywood, Mercy Aigbe Gentry ameendelea kukataa kwamba amepatana na muwewe, Olanrewaju Gentry.
Wiki iliyopita vyanzo visivyo rasmi vilidai kwamba Mercy, 38 ambaye alimfikisha mahakamani mumewe kwa kumpiga kila wakati, amerejea katika nyumba ya mumewe.
Lakini mwanadada huyo ambaye ni mama wa watoto wawili alizikanisha taarifa hizo.
Alizungumza na na Jarida la Wiki la Encomium, alisema hizo taarifa hizo za kupatana zimetengenezwa na kwamba bado anaendelea kushughulika na kesi iliyoko mahakamini.
Hiyo ni mara ya pili kwa msanii huyo kukanusha taarifa kama hizo.

0 Comments:
Post a Comment