MSANII ambaye pia mwanamitindo, Mercy Aigbe ameungana na mwanamitindo, Laura Ikeji na msanii mwenzake, Rita Dominic kuwa Balozi wa nywele za BK Unique, ambapo kampuni hiyo makazi yake Canada.
Kuteuliwa kwa mwanadada huyo kuwa balozi, ni miongozi mwa mabalozi wa kampuni hiyo Nigeria na kuongeza wigo katika kufanya kazi ili kuongeza kipato chake.
Akizungumza hivi karibuni, Mwanzilishi na Mmiliki wa BK Unique Hair Inc, Blessing Kenneth alisema Mercy ataiwakilisha bidhaa yao vizuri.
Alisema bidhaa hiyo itapata watumiaji wengi kutokana na uwekezaji waliofanya.

0 Comments:
Post a Comment