SIKU chache baada ya kwenda kumtembelea aliyekuwa Rais wa Nigeria, Olusegum Obasanjo nyumbani kwake, Msanii nyota wa Nollywood, Jim Iyke ameweka wazi hakuingia katika siasa kwa bahati mbaya.
Msanii huyo alipata matamanio ya kuingia katika siasa kupitia Chama cha Siasa cha Vijana (YDP).
Iyke aliyasema hayo baada ya wadau wake kuanza kufikiria kwamba alikwenda huko kwa ajili ya masuala yake binafsi.
“Nimesoma taarifa za watu mbalimbali baada ya kwenda kufanya kikao na YDP nyumbani kwa rais wa zaman,” alisema Iyke.
“Kazi yangu inanielekeza kuweka misingi imara katika uongozi wa Nigeria. Mimi ni mtumwaji na mhamasishaji. Malengo na matarajio yangu ya baadaye lazima yaendane na kujenga misingi imara ya uongozi.

0 Comments:
Post a Comment