MSANII wa filamu za Kinigeria, Iretiola Doyle ameonekana kuvunja ndoa yake na msanii mwenzake, Patrick Doyle baada ya kuwa katika hafla moja ya EbonyLife bila kuvaa pete ya ndoa.
Hafla hiyo ilikuwa ya uzinduzi wa kipindi cha televisheni kilichoitwa ‘Fifty’ ikiwa ni jina la filamu aliyowahi kuicheza mwanadada huyo.
Jarida hili na Naija, lilishuhudia msanii huyo nyota akiwa ukumbini hapo huku kidole chake cha nne kikiwa kitupu.
Alipotakiwa kuzungumzia hilo kwa upole alikataa. Hata alipotafutwa meneja wake kuzungumzia hilo alida haamini kama hajavaa.

0 Comments:
Post a Comment