MSANII nyota wa Nollywood, Mercy Johnson ameshindwa kuendelea kuficha ujauzito wake wa miezi minne baada ya kuanza kuvaa magauni mapana.
Mercy ambaye ni mama wa watoto watatu, sasa anatarajia kupata mtoto wa nne na hilo lilionekana wakati wa shoo ya Glo Laffta.
Msanii kwa muda mrefu alikuwa anaficha ujauzito wake kwa mitindo mbalimbali lakini picha alizopigwa za karibu zilifichua hilo.
Pia alionekana kurembwa zaidi na mwanamitindo wake Lhidhia Stanley ambaye ndio huwa anampamba.

0 Comments:
Post a Comment