MSANII mkongwe Dudu Baya amembwatukia msanii mwenzake Chege kwa madai anatumia jina lake la Konki ambapo amedai hana sifa ya kutumia jina hilo kwani wanaotumia jina hilo ni watu wasiokata tamaa na kutokubali kushindwa.
Akizungumza wiki hii, Dudu Baya ambaye amekuwa kimya kwenye muziki anasema anmeshangaa kusikia Chege anajiita Konki wakati hana sifa hiyo.
“Konki ni watu ambao wanapambana, makonki ni watu ambao hawataki jamii ionewe, halafu nimesikia kuna mtu wa Bongo Movie nae anajiita Konki, naombeni majina yangu msiwe mnayaiga, mimi ndiye Konki napambana mpaka tone la mwisho,”anasema Dudu Baya.

0 Comments:
Post a Comment