RAPA wa Marekani, French Montana yupo mbioni kuachia wimbo wake mpya wa ‘No Lie’ ambao utakuwa kwenye albamu yake mpya yenye nyimbo 14.
Wimbo huo unashika nafasi ya nne katika albamu ambayo ameiita Jungle Rule na kikubwa zaidi mashabiki wa muziki watamsikia pia The Weekend na Max B.
0 Comments:
Post a Comment