Thursday, June 29, 2017

PICHANI: Mastaa wengi waliwasili katika uzinduzi wa pati ya Bossip & WE TV




Usiku wa jana timu ya Bossip na WE TV walisherekea kuzindua kipindi kipya cha 'series' cha  “Bossip on WE” katika klabu ya W Midtown’s. Mastaa kibao walihudhulia katika hafla hiyo ikiwa na watu mashuhuru kwenye mambo ya urembo. Wageni waliohudhulia kutoka kushoto kwenda kulia ni:  Towanda Braxton, Tameka “Tiny” Cottle, Ms Juicy, Zonnique Pullins, na Trina Braxton.



Zonnique Pullins, Reginae-Carter, her mom Toya Wright; na Tameka “Tiny” Harris.

Ms Juicy (Mdada mnenekutoka Atlanta) na Tammy Rivera wakipiga 'selfie'.

Sheree Whitfield, Toya Wright, Rasheeda Frost, Quad-Webb-Luncefrod na Tiny Harris.

Sheree Whitfield, Tammy Rivera, Bambi Benson, Gocha Hawkins, Rasheeda Frost.

Taarifa kwa umma:
Waliohudhulia shughuli hiyo ni pamoja na Trina Braxton na Towanda Braxton kutoka WE tv’s “Braxton Family Values” kama (Sister Style); Sheree Whitfield kama (Chateau Chic), Cynthia Bailey kama (Runway Stunner) na Kenya Moore kutoka (Gone With The Wind Fabulous Style) kutoka Bravo’s “Real Housewives of Atlanta”); Reginae Carter, Shaniah Mauldin, Brandon Barnes, Ayana Fite, Zonnique Pullins (ATL’s kama Best Dressed Cast), Toya Wright (Mama wa mtoto Reginae Carter aliyezaa na Lil Wayne), Tiny Harris (Most Versatile Style) kutoka WE tv’s “Growing Up Hip Hop Atlanta”, Tammy Rivera (Model Swimwear Maker), Rasheeda Frost (Beautiful Boss Chick) na Karlie Redd (Most Enterprising Ingenue) kutoka VH1’s “Love & Hip Hop Atlanta”; Quad Webb-Lunceford (“The Snatched Stunner”) na Dr. Heavenly (“Dental Diva”) of Bravo’s “Married To Medicine”, Gocha Hawkins wa WE tv’s “LA Hair” (Wizard of Wigs), Atlanta City Councilman Kwanza Hall (Campaign Strong Style), Miss Juicy (Red Hot Royalty) kutoka Lifetime’s “Little Women: Atlanta”, Angela Robinson (“Sophisticated Soap Star”) kwa “Tyler Perry’s na series ya The Have and the Have Nots” inayoonyeshwa katika televisheni ya Oprah ya  OWN na Gary Hayes (Fab Fashionisto”) of Rickey Smiley Morning Show/DISH Nation.
Washiriki waliowasili kutoka “Bossip on WE” ni pamoja na  Janee Bolden, Jason “Jah” Lee, Danielle “Dani” Canada, Alex Ford, Ronnie Jordan, Tyler Chronicles na Maura Chanz. Executive Producers ni Marve Frazier na Detavio Samuels nao walikuwepo pia kushrehekea pia.
Mastaa waliohudhulia katika red carpet kabla ya uzinduzi huo wa kuanza kwa pati ni DJ Bomshell Boogie ambaye aliwarusha wageni waalikwa usiku huu wote.
“Bossip on WE” itaanza kuonyeshwa siku ya Alhamisi Julai 6 saa 10PM



Towanda Braxton, Gary Hayes


Toya Wright, Tiny Harris


Rasheeda Frost, Mimi Faust, Tammy Rivera


Sheree Whitfield, Tammy Rivera, Bambi, Gocha Hawkins, Rasheeda Frost


Sheree Whitfield, Toya Wright, Rasheeda Frost, Quad Webb, Tiny Harris


Quad Webb-Lunceford, Sheree Whitfield


Group


Gary Hayes, Dr Heavenly


Miss Juicy


Ayana Fite


Bambi Benson


Beauti J, DJ Traci Steele, Rasheeda Frost


Brandon Barnes na mama yake Ms Debra Antney


Brandon Barnes, Taylor Girlz


Cynthia akihojiwa


Waalikwa


Atmosphere


Wageni wakipata chakula


DJ aliyekuwa akiwarusha


Kuku wa kutosha walikuwepo

Trina Towanda Cynthia


Gary With Da Tea


Tiny Zonnique Ms Juicy


Quad Webb-Lunceford guests


Quad Webb-Lunceford


Bambi Benson


wageni wa Tiny


Toya Rasheeda


Satchel Jester wakicheza


Sheree akiremba


Gocha Sheree Kwanza Hall na mkewe


Ms Juicy Tammy Rivera


pretty lady


Wapenzi waliopendeza zaidi


Wapenzi waliopendeza zaidi


walijipiga 'Selfie' kama kawaida


Ms Juicy Tammy Bambi


Gocha Hawkins

 

0 Comments: