Baada ya kukubali ya kuwa ametendewa miujiza msanii aliyekuwa akiunda kundi la Kleptomaniac anayejulikana kwa jina la Collos kwa sasa masiha yake ayamebadilika na kuwa mazuri zaidi. Mwanamuziki huyo ameend mbali zaidi kwa kuimba nyimbo za injili na kutoa wimbo mzuri unaokwenda kwa jina la Bazokizo mpaka kupelekewa kushiriki katika tuzo za Groove.
Collo alikaa chini na mkewe mwaka uliopita na kumpa jina mtoto wao wa kike anayeitwa Tawala. The musician continues to spread
the word through several ways and his fans cannot wait to hear what song
he has in store for them.
Hapa ameshea picha akiwa na familia yake wakati wa ndoa yao na kusherekea siku yao ya ndoa waliyoifanya Kenya Judiciary Training
Institute mwaka uliopita.
0 Comments:
Post a Comment