Thursday, June 29, 2017

Rayvanny alivyowasili katika uwanja wa Julius Nyerere baada ya kushinda tuzo ya BET


Msanii kutoka WCB, RayVanny aliyejishindia tuzo ya BET amerejea nyumbani Tanzania na kupokelewa na watanzania kwa mapenzi makubwa baada ya kushinda tuzo hiyo.

0 Comments: