Friday, May 5, 2017

Hussen Machozi aelezea magumu ya studio za Italia

MSANII wa Bongo Fleva Hussein Machozi amesema amesema anakutana na changamoto nyingi nchini Italia anakofanyia kazi za kimuziki kwa sababu studio ni chache.
Machozi anasema wiki hii kuwa kuna changamoto za studio, kuzalisha ni gharama ila usimamizi ni mkubwa kwenye suala la kulinda ubora wa kazi za wasanii.
“Nimekuja nyumbani kwa ajili ya likizo. Mimi ndiye baba wa mama yangu, mimi ndio baba wa mwanangu nimekuja kuwasalimu. Familia yangu na mtoto wangu wapo Mwanza. Siwezi kuwatenga nitakuwa narudi kuwasalimu,’anasema Machozi.


0 Comments: