Friday, May 5, 2017

Beyonce ahofia kutopendeza na kitumbo


SUPASTAA Beyonce Knowles a.k.a Queen B ameonekana kuanza kuhofia mavazi yake kutokana na ujauzito alionao huku akikaririwa kudai hapendezi na nguo anazovaa.
Staa huyo mke wa Rapa Jay Z wanatarajia  kupata watoto mapacha mwezi ujao na mapema wiki hii alipata shangwez za kutosha wakati alipowasili katika ukumbi wa Wearable Art jijini Los Angeles.
Beyonce anaamini kelele za mashabiki zake katika usiku huo zilikuwa ni za kumshangaa yeye kwa kutopendeza huko.
Msanii huyo ambaye ana mtoto wa kike aitwaye Ivy Blue amekuwa akijishtukia mara kwa mara pindi anaponenepa au alipokuwa na ujauzito wa kwanza.


0 Comments: