MUIGIZAJI Yvonne Nelson ametoa kali ya mwaka baada ya kuwashuku wanaume wote waliowahi kumuumiza moyo wake kimapenzi kwani wamemfanya kuwa imara zaidi.
Alisema ingawa ni ngumu kuwasahau wote waliompa majeraha ya moyo lakini hiyo haimaanishi anawachukia bali anawashukuru kwa kumuonesha tabia halisi za wanaume na hivyo kujifunza kutokana na makosa.
“ Siwezi kuwachukia bali nawashukuru kwa kunikomaza, sasa naelewa tabia za wanaume na sidhani kama atatokea mwingine wa kuniumiza, najua mashabiki zangu mna hamu ya kujua naolewa lini, tegeni sikio mwaka huu,” anasema Yvonne.

0 Comments:
Post a Comment