STAA anayekuja kwa kasi katika kiwanda cha filamu, Akshara
Haasan amewataka mastaa wengine wa filamu nchini humo kubadilika na
kuja na vitu vipya ili waweze kuendana na soko la filamu duniani.
Mkali huyo wa filamu za Laali Ki Shaaadi amesema soko la filamu India linapaswa kubadilika na kuongeza idadi kubwa ya nyota wapya ili kuleta changamoto kwa wakongwe lakini pia kuleta mabadiliko.
“India tunapaswa kusonga mbele zaidi ya hapa tulipo, sisemi kwamba tupo pabaya ila kama damu change zitaongezeka basi ubunifu utazidi kuwepo na siyo kutoa filamu zile zile kila siku,” anasema Akshara.

0 Comments:
Post a Comment