Paul Okoye anayeunda kundi na ndugu yake wa P-Square ameonekana akifurahia maisha ya kifahari, baada ya kutuma picha akila bata katika mjengo wake huo huku akiwa kwenye jakuzi ikiwa na TV kwa mbele.
Mwanamuziki huyo alituma picha katika mtandao wake wa Instagram na kushea na mashabiki wake huku akiangalia TV iliyopo kwenye jakuzi hiyo.
0 Comments:
Post a Comment