Friday, April 28, 2017

Carmelo anajaribu kuirudisha ndoa yake na mkewe La La aliyekuwa anachepuka

Kids Rock! - Front Row - Spring 2016 New York Fashion Week: The ShowsCarmelo Anthony ameonekana akijaribu kuiokoa ndoa yake na mwanadada La La Anthony.
Wiki mbili zilizopita zililipotiwa habari ya kuwa mchezaji huyo wa mpira wa kikapu ligi ya NBA Melo alikuwa akichepuka na mwanadada mwingine kwa mkewe huyo aliyedumu nae katika ndoa zaidi ya miaka saba.
Lakini mchezaji huyo wa timu ya Knicks alisema kuwa alikuwa akimtumia sms mkewe huyo kila kukicha kumuomba msamaha kwa yaliyotokea ili waende mapumziko kuyaongea kuhusu ndoa na kuyamaliza

Mtandao mmoja wa habari ulimnukuu Melo akisema “Bado nampenda mke wangu,” na kusema kwa pamoja tuliachana na sasa nataka turudi kwa pamoja ili tuendelee kulea familia yetu.

0 Comments: