R&B Diva Mary J Blige ametembelea Streetz Redio 94.5 jijini Atlanta na kukutana na pamoja na kukutana DJ Yung Joc (pictured left) na DJ Holiday (hayupo pichani ).
Photos by Prince Williams/ATLPics.net
Mary akifanyiwa mahojiano na 94.5’s na DJ Holiday kushoto, kujadili maisha yake yanayoendelea pamoja na kuzungumzia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Strength of a Woman. Albamu hiyo anaiachia katika mtandao wa iTunes kesho , Aprili 28.
0 Comments:
Post a Comment