Mwanamama wa miondoko ya R&B Mary J. Blige alikuwa katika jiji la Atlanta siku ya jumatano katika kuitangaza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Strength Of A Woman. V-103 walimualika wakiwa wanaongozwa na msanii wa zamani ambaye kwa sasa mtangazaji Big Tigger aliyeongoza shoo hiyo kwa filamu fupi kuhusiana na albamu yake hiyo ya “Strength Of A Woman” katika jumba la Scad.
Picha na Prince Williams/ATLPics.net
Baada ya hapo mwanamama Mary alizungumzia maisha yake ya sasa juu ya mumewe aliyeachana nae kuhusiana na albamu yake hiyo. Shoo hiyo ilikuwa chini ya V-103. Picha juu ni kushoto ni
Big Tigger, Mary (katikati) na mchumba wake Tigger’s. Samahani hatukulijua jina lake.
0 Comments:
Post a Comment