MZEE wa misifa kunako udongo wa Trump, Dj Khaleed amezidi kuonesha jinsi gani amepania albamu yake mpya aliyoipa jina la Grateful baada ya kutangaza kuwa bado orodha ya mastaa watakaokuwepo kuipa shavu ni kubwa.
Staa huyo kutoka kundi la We the Best, mapema wiki hii alimuongeza Rihanna na mkali wa michano, Nas ambapo Rihanna hii itakuwa mara yake ya kwanza kupewa kolabo na Dj Khaleed.
Kama hujui ni kwamba mastaa hao wataungana na Travis Scott, Mariah Carey, Alicia Keys, Lil Wayne, Future na Justine Beiber huku ikisanuliwa kuwa Rapa Jay Z ambaye ni Meneja wa Khaleed na mkewe Beyonce wamo katika albamu hiyo na wameshaingiza voko zao katika wimbo wa Shinning.

0 Comments:
Post a Comment