MSANII wa muziki wa kizazi kipya Naftal Mlawa a.k.a Nuh Mziwanda amesema amekuwa akikesha akimuomba Mungu amjaalie mkewe Nawal ambaye sasa ni mjamzito ajifungue watoto mapacha.
Nuh anasema kuitwa baba wawili imekuwa ni ndoto yake ya muda mrefu na anaomba itimie kwa mkewe huyo kipenzi. “Natamani Nawal ajifungue mapacha.Furaha yangu itakuwa zaidi ikiwa hivyo lakini hata akiwa mmoja pia nitashukuru”.
Nuh alifunga ndoa na Nawal mwa mwaka jana na ilielezwa kuwa, wakati mwanadada huyo akiolewa alikuwa tayari ameshanasa mimba.

0 Comments:
Post a Comment