Friday, February 17, 2017

Mkong’oto wavunja penzi la Gigy kwa Moj

UHUSIANO wa kimapenzi kati ya staa Gift Stanford a.k.a Gigy Money na mtangazaji mwenzake wa kituo kimoja cha redio nchini, Moulad Alpha ‘Moj’ udaiwa kuvunjika baada ya uhusiano wao kuingia doa.

Chanzo cha taarifa hizo kinaeleza kuwa wawili hao wamekuwa na uhisiano ambao umekuwa ikigubikwa na malumbano huku Gigy Money akidaiwa amekuwa akipokea kipigo mara kwa mara.
Kimedai kuwa  Gigy alikuwa anapigwa mara kwa mara na jamaa yake lakini kinachooneka sasa uzalendo umemshinda na hivyo ameamua kukaa kando.
Akizungumzia taarifa hizo, Gigy anasema alikuwa anampenda sana Moj kwa kuwa alimwona ni mstaarabu lakini ghafla amebadilika.
Anafafanua kupendwa ni utumwa na mateso makubwa.Hivyo nimeamua kukaa kando.”Ukiona mwanaume anakupiga ujue hakuheshimu,” anasema Gigy


0 Comments: