MWANA mwenye uzuri wake Zarina Hassan maarufu kwa jina la Zar pamoja na mpenzi wake Nasib Abdull ‘Diamond ‘ Januari 16 mwaka huu wanatarajia kufanya shereha bab kubwa kwa ajili ya 40 ya mtoto wao wa pili Nillan Nasibu ‘Chibu Junior’
Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika katika nyumba ya Diamond iliyopo nchini Afrika Kusini na mastaa kibao wanatarajia wa Bara la Afrika wanatarajiwa kushiriki.
Maswahiba wa karibu wa Zari wameeleza kuwa sherehe hiyo itakuwa ya kihistoria kwa namna ambavyo maandalizi yake yanaendelea kufanyika.
Hivyo Januari 16 mwaka huu itakuwa ni siku ya kipekee kwa Diamond ambaye kwenye familia yake amepata mtoto wa kiume.Mtoto wake wa kwanza Diamond anaitwaLatiffah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ Hivyo Zari anakuwa mama mwenye watoto wawili wa staa Diamond.Mtoto wa Diamond atatimiza siku 40 hiyo Januari 16 tangu azaliwe Desemba 16 mwaka 2016.

0 Comments:
Post a Comment