HABARI iliyopo sasa kwenye mitandao ya kijamii ni ile inayohusu penzi la mastaa wawili nchini Jacqueline Wolper na Harmonize kuwa sasa limefika tamati.Si wapenzi tena kisa nini endelea kufuatilia.Ilikuwa hivi Wolper ndio ameamua kuweka wazi kuwa uhusiano wao umefika mwisho baada ya kuandikia kupitia mtandao wake wa kijamii kwa kumwambia laazizi wake Harmonize kuwa yeye si mtoto mdogo na anaakili timamu.
Hakuishia hapo Wolper akasisitiza kwenye mtandao wake kuwa “endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love.”
Kwenye post hiyo iliyokuwa ya Wolper alikuwa ameweka picha ya Harmonize pamoja na zile alama za kopa iliyopasuka.Hata hivyo ujumbe huo wa Wolper haukukaa kwa muda mrefu kwani ulitolewa mapema ila wapo walioinasa mapema.
Kwenye post hiyo iliyokuwa na picha ya Harmonize pamoja na emoji za alama ya kopa iliyopasuka, Wolper ameandika: “Nina akili timamu me syo mtoto mdogo, endelea na maisha yako it over waambie rasmi usifiche @harmonize_tz i hate love.”

0 Comments:
Post a Comment