Wednesday, January 25, 2017

Vanessa Mdee ageukia uigizaji tamthilia

MSANII wa Bongo Fleva Vanessa Mdee ameonesha uwezo wake kwenye tasnia ya sanaa baada ya kuingia kwenye maisha mapya ya uigizaji wa tamthilia kwa kishindo.
Vanessa mwaka 2016 alichaguliwa kujiunga katika tamthilia ya MTV Suger na sasa wameanza kurekodi na huenda Afrika Kusini kila baada ya wiki mbili.
“Kipindi hiki cha maandalizi kila mwigizaji amepewa Kila mwigizaji amepewa script nzima miezi kabla ya kushoot na baadaye hukutana na kuanza kufanya mazoezi na waigizaji wenzake,”anasema.


0 Comments: