PENZI la Rose Ndauka kwa MC Pilipili kwa sasa linaonekana kushika kasi na kwenye mitandao ya kijamii picha zao zimesambaa huku Rose akipongezwa kuwa amepata mpenzi(Mchumba), mwenye hofu ya Mungu.
Habari ya mjini ni kwamba tayari MC Pilipili amemvisha pete Rose Ndauka.Hata hivyo kubwa ambalo mashabiki wake wanalitarajia kwa sasa ni kuona ndoa inafungwa.






0 Comments:
Post a Comment