Lagos, Nigeria
MSANII Harrysong ambaye hivi karibuni alijiondoa kutoka katika lebo ya Five Star Music amekanusha uvumi wa kuwa alimuoa mrembo wa Niger, Harriet Edide.
Alisema kuwa kuwa bado hajaoa mwanamke yoyote si huyo wa Edide wala mwingine yeyote.
“Hiki siyo kitu ambacho kinaweza kuwa siri kama kweli kimefanyika, mimi na Edide tulikuwa ni wapenzi na tulishaachana hivyo zetu zilishaisha,”anasema.
Akielezea sababu za kuachana na mrembo huyo Harrysong anasema walikuwa wanaishi na kuangaliana lakini wakaja kujuana kuwa hawazi wakaishi pamoja kama mke na mume.

0 Comments:
Post a Comment