Friday, January 27, 2017

Hadija Kopa awaomba ufadhili kwenye taarabu


MALKIA wa taarab nchini Khadija Kopa amevunja ikimya kwa kuwataka mameneja kujenga utamaduni wa kuwadhamini wasanii wa taarab ili nao wafanikiwe kimaisha kupitia muziki huo.

Kopa ametoa kauli hiyo wiki hii ambapo anasema anahitaji kupata wadhamini ili aweze kufanya video nzuri kwani yeye anajua kuimba lakini hajui masuala  ya uongozi.Hivyo anatamani kupata usimamizi ili atengeneza kazi nzuri zaidi.
“Kwa sasa najipanga maana natambua kuwa mashabiki wa taarab wanataka kupata vitu vya kisasa zaidi kutoka kwangu,”anasema.


0 Comments: