Tuesday, January 3, 2017

Chemical autesa moyo wa Stereo

NYOTA ya Rapa wa kike Claudia Lubao maarufu kwa jina la
Akizungumza wiki hii, Stereo anasema amesema Chemical ni binti mrembo na kubwa zaidi anamzimia kupita maelezo na anatamani kuona anakuwa mkewe.
“Nadhani tukioana tutakuwa na familia hivi ya aina yake,” anasema Stereo na kuongeza kuwa bado hajamweleza Chemical kuwa kama ndio ametawala kwenye moyo wake.

Chemical inaonekana kuendelea kung’aa kwenye muziki wa kizazi kipya huku Rapa Stereo akidai kuwa anatamani kumuoa ili awe mkewe wa ndoa.

0 Comments: