Sunday, January 1, 2017

Watokwa povu kuhusu uhusiano wa Drake, Lopez

Los Angeles, Marekani
MASHABIKI wa muziki nchini wameingia kiwewe baada ya kuona picha za mastaa wa muziki
Wawili hao kila mmoja aliposti picha akiwa na mwenzake kwenye akaunti zao bila ya kusema chochote na kuonesha kuwa pengine kwa sasa mastaa hao ni wapenzi.
Mapovu yalianza kuwatoka mashabiki ambao walikuwa wakichangia na wengi walionesha hali ya kutoridhika na kampani ya wawili hao.

Mmoja wa mashabiki alisema kuwa huo utakuwa ni uchizi kwa Drake, 30, kuachana na Rihanna na kwenda kumvamia Lopez, 50.
Wengi walionesha kutorodhika kabisa na urafiki huo wakimapenzi kati ya mastaa hao.
Hata hivyo inadaiwa Rihanna amemu-unfollow Jennifer kwenye Instagram baada ya tetesi hizo kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano na Drake.


Drake na Jennifer Lopez wakiwa katika hali ya kimahaba.

0 Comments: