Thursday, July 19, 2012

SEAN PAUL NA NDOA YA SIRI

Mjamaika mkali wa miondoko ya Dance hall, Sean Paul, amefunga ndoa ya siri siri na girfriend wake wa zamani, Jodi "Jinx" Stewart katika sherehe iliyoandaliwa kifahari Boone Hall Oasis Jamaica. Mtandao mmoja ulinyaka siri hizi na kusema kwamba ndoa hii ilifanywa kisiri na waalikwa walikuwa watu wachache wa familia mbili, na mastars wachache ambao ni rafiki wa Sean Paul. Jodi "Jinx" Stewart ambaye ni mtangazaji wa Luninga nchini Jamaica amekuwa na uhusiano wa kimapenzi na Sean Paul toka mwaka 2002.

0 Comments: