Thursday, July 19, 2012

DADY OWEN AWA BALOZI WA AIRTEL KENYA...


Mwimba Injili Maarufu nchini kenya na pia aliyewahi kujishindia Tuzo za African Gospel Music Awards zinazotolewa Nchini Uingereza, Daddy Owen, amechaguliwa rasmi kuwa Balozi wa Airtel Nchini Kenya, kwa mkataba wa Mwaka mmoja. Daddy Owen, kama Brand Ambassador atakuwa akijihusisha na ku promote bidhaa za Airtel na Huduma zake.
Daddy Owen ni top Gospel Artists nchini kenya, na pia ndie msanii pekee kupata tuzo za MTV Mama na kwa sasa anawika na wimbo wake mpya kabisa uitwao "Mbona".

0 Comments: