Thursday, July 19, 2012

PERFUME YA LADY GAGA HAINA DAMU WALA MBEGU ZA KIUME

Hii ndio perfume LADY GAGA FAME
Kituko kikali kimeibuka kwa watu kuuchukulia msemo wa lady Gaga kwamba perfume yake ijulikanayo kama LADY GAGA FAME, itakuwa na mjumuisho wa vinjonjo vya Damu na mbegu za kiume, umewafanya watu wengi wachanganyikiwe na mpaka lady gaga mwenyewe kuamua kupost kwenye mtandao wa Twitter kwamba hakumaanisha kwamba perfume hiyo itakuwa na vitu hivyo, bali ni "Floral(Maua) na Fruits elements " Viambatanishi vya matunda".
Inasemekana kwamba watu walitahamaki sana kuhusiana na swala hili, kwani haswa walipokumbuka kwamba lady Gada aliwahi kutengeneza vazi ambalo lilikuwa na nyama.

0 Comments: